DC Magoti atangaza kukamata matapeli wa ardhi Kisawarawe


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametangaza msako mkali kwa walanguzi wa ardhi na viongozi wa kijiji waliouza mashamba zaidi ya heka 300, ambapo heka moja waliuza sh. 100,000.


"Naenda kuweka kijiji kizima 'rock up',  Nitakamata mpaka mtu aliyeshuhudia ambaye hakutoa taarifa, mnunuzi mmoja aliyeshiriki kununua aliniandikia ujumbe usiku nikampa sh. 120,000," mesema.


Ameeleza adhabu yao ya kununua maeneo bila utaratibu maalumu ni kuwakamata na kupewa adhabu ya kulima na siyo kuwekwa rumande.


DC Magoti atangaza kukamata matapeli wa ardhi Kisawarawe DC Magoti atangaza kukamata matapeli wa ardhi Kisawarawe Reviewed by Gude Media on 8:41:00 AM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.