WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAKINI, NLD WACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo. Kusht ni mgmbea mwenza Chausiku Khatib Mohamed. Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).



 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Makini (MAKINI), Coster Jimmy Kibonde. Mgombea huyo wa MAKINI aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Aziza Haji Suleiman (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).




WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAKINI, NLD WACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAKINI, NLD WACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC Reviewed by Gude Media on 7:47:00 AM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.