NRA wachukua fomu za uteuzi kiti cha Rais na Makamu

Mgombea wa kiti cha Rais wa chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Kisabya Almas (kulia) na mgombea mwenza Hamisi Ally Hassan (kushoto), wakionesha mkba wenye fomu za uteuzi kuwania nafasi hizo, baada ya kukabihiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), jijini dma. Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).