MNEC-SUKI Rabia Hamid, Kansela wa CPC wafanya kikao kazi jijini Dar


Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa - Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya Kikao kazi na Kansela wa Chama Cha Kikomunisti (CPC), Ubalozi wa China nchini Tanzania  Xu Sujiang, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, April 16, 2026.

Lengo la kikao hicho ni kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali yanayolenga kuimarisha uhusiano na itikadi za vyama hivyo.