Rais Dk. Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mheshimiwa Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, tarehe 14 Februari, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.




Rais Dk. Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia Rais Dk. Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia Reviewed by Gude Media on 5:23:00 AM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.