Kabungulu wa Chama cha NRA achukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Manonga


IGUNGA - TABORA 

MSIMAMIZI wa Uchaguzi 2025  Majinbo ya Igunga na Manonga, Hamisi Hamisi amemkabidhi fomu ya kugombea ubunge mgombea wa jimbo la Manonga kwa chama cha N.R.A. Mhe. Lwatakubi Sospeter Kabungulu.


Hamisi amekabidhi fomu hiyo leo Al hamisi Agosti 14, 2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa majimbo hayo wilayani Igunga mkoani Tabora.


Aidha, zoezi la kuchukua fomu za uteuzi limeanza na linatarajiwa kutamatika ifikapo Agosti 27 mwaka huu. 


Kabungulu wa Chama cha NRA achukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Manonga Kabungulu wa Chama cha NRA achukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Manonga Reviewed by Gude Media on 4:57:00 AM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.