DC Mpogolo atunukiwa tuzo


Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania  (TPF-Net) Wilaya ya Ilala umemtunuku tuzo maalumu Mkuu wa  wilaya hiyo Edward Mopogolo ya  kutambua mchango wake katika  kujenga jamii salama,jumuishi na yenye usawa wa kijinsia 


Mpogolo amekabidhiwa tuzo hiyo  ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo.


Ameushukuru mtandao TPF Net  kwa kutambua mchango huo na kwamba tuzo hiyo ni heshima kubwa kwake na wananchi wa Wilaya ya Ilala.


Tuzo hiyo imekabidhiwa na SSP Latifah Chicco (RFBO Ilala), ASP Sophia Dilunga (OCS Kati na A/Inspekta  Husna wa Ofisi ya  RFBO Ilala.

DC Mpogolo atunukiwa tuzo DC Mpogolo atunukiwa tuzo Reviewed by Gude Media on 2:09:00 AM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.