Balozi Mulamula ashiriki Mkutano Mkuu wa UWT Taifa

Balozi Liberata Mulamula ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa UWT, Dodoma 

Mjumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa UWT Taifa, Balozi Liberata Mulamula, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Umoja huo, ulikuwa na lengo la kuwapigia kura na kuwachagua wabunge wa Viti Maalum vya Makundi maalumu waliopitishwa na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mkutano huo wa UWT, umefanyika jijini Dodoma ukiongizwa naa Mwenyekiti wa UWT Taifa, Marry Chatanda na viongozi wengine wa Umoja huo.

Balozi Mulamula ashiriki Mkutano Mkuu wa UWT Taifa Balozi Mulamula ashiriki Mkutano Mkuu wa UWT Taifa Reviewed by Gude Media on 11:51:00 PM Rating: 5

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.