MJEMA ATEULIWA KUWA MSHAURI WA RAIS MASUALA YA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU

 



Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Raus Masuala ya Wanawake na Makundi Maalumu.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Mjema alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.

MJEMA ATEULIWA KUWA MSHAURI WA RAIS MASUALA YA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU MJEMA ATEULIWA KUWA MSHAURI WA RAIS MASUALA YA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU Reviewed by Gude Media on October 22, 2023 Rating: 5

Boxed Width - True/False

True