Ni Historia ya nchi na Ukanda wa Afrika Mashariki, Rais Dk. Samia azindua Daraja la JP Magufuli

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua Daraja la JP Magufuli lenye ulefu wa Kilometa 3.0, Kigongo -Busisi, mkoani Mwanza.