Migiro Afungua Semina Elekezi kwa Kaimu Makatibu wa CCM Mikoa 32 - GUDE MEDIA

Breaking

9/29/26

Migiro Afungua Semina Elekezi kwa Kaimu Makatibu wa CCM Mikoa 32


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asha-Rose Migiro, amefungua semina elekezi kwa Kaimu Makatibu wa CCM Mikoa 32, leo Septemba 29, 2026, jijini Dodoma.

Semina hiyo ya siku mbili inalenga kuwajengea uwezo viongozi hao kuhusu majukumu yao ya kiuongozi, uendeshaji wa shughuli za chama pamoja na utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi.

Akifungua semina hiyo, Migiro amesisitiza umuhimu wa viongozi hao kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi na kuzingatia misingi, kanuni na taratibu za chama.








No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.