Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi hao wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo, 13 Juni 2023.
6/13/23
New
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI IKULU, MKOANI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.