Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Akutana na Viongozi wa Madereva, Mgomo Wasitisha - GUDE MEDIA

Breaking

9/30/26

Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Akutana na Viongozi wa Madereva, Mgomo Wasitisha


Mkuu Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, Viongozi wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida huku Serikali ikiwa tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva.





No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.