| Vijana wa KKKT, Azania Front, wakiigiza kuteswa kwa Yesu kanisani hapo, Dar es Salaam. |
| WAUMINI wa wakibusu msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam. |
| Wakristo wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Kuu Anglikana la Mtakatifu Albano, Dar es Salaam. |
| Waumini wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam. |